Tuesday, May 29, 2018 Nuh Mziwanda Azungumzia Picha Zake Tata na Amber Lulu

Msanii wa muziki wa bongo fleva Nuh Mziwanda amaefunguka na kuzungumzia video tata iliyokuwa ikiwaonyesha yeye na msanii mwenzake wa k...
Read More

Tuesday, May 29, 2018 Mpoki apewa shavu na Alikiba

Katika kuelekea mchezo maalumu wa hisani ya kuchangia elimu, msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ametangaza kikosi cha wachezaji ...
Read More

Tuesday, May 29, 2018 Khadija Kopa : Wasanii Wengi Wamekuwa Jeuri, Muda Si Mrefu na Mimi Ntaacha Muziki

Msanii mkongwe wa taaarabu nchini Khadija Kopa amefunguka na kuzungumzia hali ya taarabu ilivyo sasa nchini na kusema kuwa wasanii wen...
Read More

Tuesday, May 29, 2018 Belle 9 Akana Tetesi za Kukimbia Mjini Baada Ya Kufulia

Msanii mkongwe wa Bongo fleva aliyewahi kutamba na kibao chake cha ‘Masogange’ Belle 9 amekana tetesi zinazodai kuwa amefulia. Bel...
Read More

Tuesday, May 29, 2018 Diamond Akana Kumpigia Magoti Zari ili Warudiane

Msanii wa bongo fleva maarufu  nchini , Diamond Platinumz kwa mara ya kwanza amefunguka na kuzungumzia swala lake la kuachana na Zari ...
Read More

Je, Unajua hii? Soko la Uchumi wa Kimataifa{Global Financial Market}

Hii si yakukosa kwa wewe mkazi wa Sumbawanga.
Read More

Thursday, May 17, 2018 TRA Yatishia Kuuza Makontena 20 ya Paul Makonda

Mamlaka ya Mapato (TRA), imetangaza kusudio la kupiga mnada kontena 20 za Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ikiwa atashindw...
Read More

Thursday, May 17, 2018 Kwa Nini Wanaume Wengi Wanaupungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo?

Asilimia 45 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kuwatimizia vyema wake au wapenzi Wao na kuwasababishia kutoka nje ya ndoa zao. ...
Read More

Thursday, May 17, 2018 Waziri Mkuu: Ajira za wageni zinazotolewa nchini ni za kitaalamu ambazo Watanzania hawana uwezo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa ajira zinazotolewa kwa wageni ni zile Kitaalum tu ambazo Watanzania hawana uwezo nazo. Wazi...
Read More

MBUNGE WA CCM AMWAGA MACHOZI BUNGENI

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Jacqueline Ngonyani ‘Msongozi’ ametoa chozi bungeni akiitaka Serikali kuwalipa mawakala wa pembejeo na kua...
Read More

Wednesday, May 16, 2018 Wachungaji Wanusurika Kupigwa na Wananchi Baada ya Kushindwa Kumfufua Marehemu

Wachungaji watatu wamenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, baada ya kushindwa kumfufua marehemu katika Kijiji cha Sitalike Tarafa ya Nsi...
Read More

Wednesday, May 16, 2018 Elimu ya Mlipa Kodi Kutolewa Mashuleni

Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma. Serikali imeona umuhimu wa kuingiza elimu ya mlipa kodi  kwenye mitaala ya elimu nchini ili kwaj...
Read More

Wednesday, May 16, 2018 Makamu Wa Rais Apokea Vifaa Vya Upasuaji Kutoka Ubalozi Wa Kuwait

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema uboreshaji wa huduma katika hospitali zetu za kibin...
Read More

Wednesday, May 16, 2018 Serikali Yataja Sababu za Wabunge wa Viti Maalumu kutoshiriki vikao vya fedha

Serikali imesema wabunge wa Viti Maalum hawaingii katika  vikao vya kamati za fedha za halmashauri wanazotoka kwa sababu ya kutotajwa ...
Read More

Wednesday, May 16, 2018 Pamba Kuuzwa Shilingi 1,100/- Kwa Kilo

Bodi ya Pamba na wadau wa zao hilo wamekubaliana kuwa kilo moja ya pamba daraja A itauzwa kwa Sh 1,100 na pamba daraja B (pamba fifi) ...
Read More