Leo Desemba 09, 2018, Vyama vya siasa 15 nchini kupitia viongozi wake wakuu vimekutana na kutoa tamko la pamoja kuhusiana na mabadiliko ya sheria ya Vyama vya siasa uliowasilishwa hivi karibuni na serikali Bungeni wakati wa mkutano wa 13 wa Bunge la 11 jijini Dodoma. Tazama Video Live Hapo Chini
Na kapolanewz tv.
0 comments:
Post a Comment