Saturday, December 29, 2018 Picha: Diamond na mpenzi wake wakutana na Balozi wa Tanzania nchini Comoro


Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz amekutana na balozi wa Tanzania nchini Comoro.

 Katika hafla hiyo Diamond alikuwa ameongozana na mpenzi wake kutoka nchini Kenya, Tanasha.
 
"Earlier today when i visited the Tanzanian Embassy in Comoros,"ameandika Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram. 
Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 comments: