Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli anawaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wapya walioteuliwa kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yaliyofanyika Oktoba 7 mwaka huu.
Hafla hiyo ya uapishaji inafanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam na imehudhuriwa na viongozi mbalimbali waandamizi wa Serikali, Bunge na Mahakama.
Fuatilia matangazo hayo moja kwa moja hapa chini

0 comments:
Post a Comment