Picha ya gari iliyopata ajari na peter kapola
TAARIFA YA AJALI YA GARI KUACHA NJIA KUPINDUKA NA
KUSABABISHA VIFO NA MAJERUHI (.) MNAMO TAREHE 03/10/2017 MAJIRA YA SAA 20:00HRS
HUKO ENEO LA NTEMBWA NALWAFI NDANI YA HIFADHI YA LWAFI KATA NA TARAFA YA KATE
WILAYA NKASI MKOA WA RUKWA GARI T. 425 BFF AINA YA FUSO MALI YA BAKARI S/O ALLY
@ KESSY WA NKASI ILIYOKUWA IKIENDESHWA NA DEREVA AMBAYE HAJAFAHAMIKA KWA
JINA IKITOKEA KIJIJI CHA MVIMWA KWENDA
WAMPEMBE IKIWA IMEPAKIWA SHEHENA YA VIROBA VYA MAHINDI NA WATU ILIACHA NJIA,
KUPINDUKA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 15 KATI YAO WANAWAKE 10 NA WANAUME 05
AMBAO NI:-
1.
DOMONA D/O
TENGANAMBA, 41YRS, MFIPA MKULIMA.
2.
EMMANUEL S/O
RASHID 84YRS, MFIPA MKULIMA, MKAZI WA NTEMBA
3.
RESTUTA S/O SUNGA
, 35YRS, MFIPA MKAZI WA NTEMBA
4.
SALULA D/O REVANA
64YRS, MFIPA MKAZI WA MTAPENDA ISALE
5.
FERISIA S/O
TENGANAMBA , MIAKA 1 – 6/12
6.
PRISCA D/O MADENI,
45YRS, MFIPA, MKULIMA, MKAZI WA CHINA
7.
RICHARD S/O
CHIKWANGARA, 24YRS, MFIPA, MWALIMU MKAZI WA KALAMBANZITE
8.
YUSTA D/O
SOMAMBUTO, 36YRS, MFIPA, MKULIMA MKAZI WA KIZUMBI
9.
GILESI S/O
RAMADHAN, 24YRS, MFIPA, MKULIMA MKAZI WA SUMBAWANGA
10. ODETHA D/O MADIRISHA 46YRS, MFIPA MKULIMA WA KIZUMBI
11. MEGI S/O NALUNGULI, 52YRS, MFIPA, MKULIMA MKAZI WA
WAMPEMBE
12. ABUU S/O AMANI @ MANDEVU, 37YRS, MUHA, BIASHARA, MKAZI
WA LIAPINDA
13. NYANDINDI S/O BATRAHAMU, 35YRS, MFIPA, MKULIMA, MKAZI
WA SUMBAWANGA
14. MAGDALENA D/O MBALAMWEZI, 50YRS, MFIPA, MKULIMA MKAZI
WA NTUCHI
15. MTOTO MCHANGA WA WIKI MBILI, MWANAUME AMBAYE HAJAPEWA
JINA
MAJERUHI WA AJALI HIYO NI:-
1.
DISMAS S/O
CLEMENT, 26YRS, MFIPA, MKULIMA MKAZI WA MWINZA
2.
SEMA S/O SAVERY
25YRS, MFIPA, MKULIMA MKAZI WA WAMPEMBE
3.
ALLY S/O HARUNA,
33YRS, MFIPA, MKAZI WA NAMANYERE
4.
YUSTA D/O
MFUNDIMWA, 50YRS, MKULIMA MKAZI WA IZINGA
5.
TENESFORY S/O
OSCAR, 36YRS, MFIPA MKAZI WA WAMPEMBE
6.
AMOS S/O
KITAMBALE, 25YRS, MFIPA, MKAZI WA WAMPEMBE
7.
NEEMA D/O
MWANANDENJE, 21YRS, MFIPA, MKAZI WA MLAMBO
8.
JOSEPH S/O
SUNGULA, 28YRS, MFIPA, MKULIMA.
9.
MAJERUHI MMOJA
MWANAMKE AMBAYE HAJAFAHAMIKA KWA JINA YUKO ICU
(.) CHANZO CHA AJALI NI DEREVA KUENDESHA
KWA MWENDO KASI NA KUSHINDWA KUKATA KONA NA KUPINDUKA (.) DEREVA ALITOROKA
BAADA YA AJALI HIYO (.) JUDUHUDI ZA KUMTAFUTA MTUHUMIWA ZINAENDELEA KUFANYAKA
(.)
IMETOLEWA NA
OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA
E-mail: ras@rukwa.go.tz
Website: www.rukwa.go.tz
Twitter: @Rukwakwetu
Simu Na: 025-/2802138/2802144
Fax Na. (025) 2802217
0 comments:
Post a Comment