Babu aliyejulikana kwa jina la Kachuka Malongo (90) anashikiliwa na polisi mkoani Shinyanga kwa tuhuma ya kubaka wanafunzi watano weny...
Read More
Home / Archive for March 2018
Friday, March 23, 2018 Beaking News: Lori la Mafuta Lawaka Moto na Kuua Wawili Mlima Sekenke Singida
Taarifa kutoka mkoani Singida ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke na watu wawili wameripot...
Read More
Today, born radio broadcaster Peter Malema from Sumbawanga in Rukwa God has added him many years, By kapola.
Peter malema. HIZO NI BAADHI YA PICHA ZAKE. POSTED BY KAPOLANEWZ.
Read More
Friday, March 23, 2018 Mwalimu Akamatwa na Polisi kwa kumkashfu Rais Magufuli
Mwalimu wa shule ya sekondari ya Nyakisasa iliyopo mkoani Kagera aliyetambulika kwa majina ya Deogratias Simon anashikiliwa na jeshi la ...
Read More
Thursday, March 8, 2018 Leo ni Siku ya Wanawake Duniani.....Tazama Hapa Alichokisema Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Machi 8, 2018 katika siku ya wanawake duniani amefunguka na kuwapon...
Read More
Thursday, March 8, 2018 Makamu wa Rais atoa neno siku ya Wanawake duniani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu amesema ana kila sababu ya kuzungumza japo kwa kifupi jitihada mbalimba...
Read More
Tanzia : ALIYEKUWA MBUNGE WA KIGOMA MJINI AFARIKI DUNIA
Mbunge wa zamani wa Kigoma Mjini, Dk Aman Kabourou amefariki dunia jana Machi 6, 2018 saa tano usiku katika Hospitali ya Tai...
Read More
WATANZANIA 225 HUAMBUKIZWA VIRUSI VYA UKIMWI KILA SIKU
Takwimu zinaonesha kuwa Watanzania 225 huambukizwa Virusi vya Ukimwi kwa siku. Hali hiyo inamaanisha kwamba kwa mwezi watu 6,750 h...
Read More
AJINYONGA HADI KUFA KWA KUTUHUMIWA KUIBA BATA WA JIRANI YAKE
Mwanamke Costansia Kadogo James (37), mkazi wa kijiji na kata ya Kisorya, tarafa ya Nansimo wilaya ya Bunda mkoani Mara, amejinyonga h...
Read More
Thursday, March 8, 2018 Nape Akoleza Moto Hoja ya Bashe
Mbunge wa Mtama (CCM) Ndugu Nape Nnauye amewataka Wabunge wa Tanzania bila ya kujali itikadi ya vyama vyao kuwa kitu kimoja na kumuung...
Read More
WAZIRI UMMY MWALIMU ARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA ILEJE
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiwa na mkurugenzi mtendaji wa halmashuri ya wilaya ya Ileje Ha...
Read More
Thursday, March 8, 2018 Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) aliyetoweka Apatikana Mafinga Akiwa Ametupwa
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania , Abdul Nondo ambaye pia ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) aliyeripotiwa ku...
Read More
Kenya: Mgonjwa apasuliwa ubongo kimakosa hospitali ya taifa ya Kenyatta, mkuu wa hospitali apewa likizo ya lazima
Afisa Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta nchini Kenya ametumwa kwenye likizo ya lazima baada ya mgonjwa ambaye hakufaa kuf...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)