Ni vitu vya nyumbani ambavyo mara nyingi hatuvioni sana kwenye TV zetu na ndio maana Kapola TV na kapola newz zimekuletea ujionee mashindano ya magari yaliyofanyika Bagamoyo Pwani May 20 2017 ambapo fainali ni May 21 2017 na KAPOLA TV itakuletea kila kitu.

0 comments:
Post a Comment