Wakati Tanzania bado ipo kwenye majonzi ya kuwapoteza Wanafunzi 29
kwenye ajali ya Basi la Shule Karatu Arusha, Ripoti mpya kutoka Wilaya
ya Chunya Mkoa wa Mbeya Mwanafunzi amefariki kutokana na adhabu ya
Mwalimu.
Mkuu wa Wilaya Chunya Rehema Madusa ameongea na millardayo.com na AyoTV na kuelezea tukio zima.
Mkuu wa Wilaya Chunya Rehema Madusa ameongea na millardayo.com na AyoTV na kuelezea tukio zima.
0 comments:
Post a Comment