Wilaya ya Karagwe Kagera imeingia tena
kwenye headlines kwa mkasa uliotokea katika kata ya Ndama baada ya
Mchungaji wa kanisa katika huduma ya kristu {H.K.K} Japhes Josephat kumuoa Mke wa muumini wake kwa madai ameoteshwa na Mungu….
TAZAMA KILA KITU KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment