May 6, 2017 kulisambaa taarifa za ajali na picha zikionesha Basi dogo lililobeba Wanafunzi likiwa limepata ajali kwenye eneo la Mlima Rhotia, Karatu Arusha ambapo Kamanda wa Polisi Arusha Charles Mkumbo alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Ajali hiyo iligharimu maisha ya watu 32 akiwemo Dereva kwenye kundi la watu wazima watatu, na Wanafunzi 29 wakiwemo Wavulana 12 na Wasichana 17.
Unaweza kutazama kwa kubonyeza play hapa chini…
0 comments:
Post a Comment