Saturday, December 29, 2018 Picha: Diamond na mpenzi wake wakutana na Balozi wa Tanzania nchini Comoro

Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz amekutana na balozi wa Tanzania nchini Comoro.  Katika hafla hiyo Diamond alikuwa ameongo...
Read More

Saturday, December 29, 2018 Polisi Ahukumiwa Miaka 20 Jela au Faini Milioni 300

Polisi G.30 PC Reuben Mgamba (36) mkazi wa Forest jijini Mbeya amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka ishirini jela au kulipa faini y...
Read More

Saturday, December 29, 2018 TANESCO Yaomba Radhi Umeme Kukatika Usiku

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limeomba radhi  wateja wake wa mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kwa katizo la umeme lililo...
Read More

Saturday, December 29, 2018 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo achangia shilingi milioni tatu Kukamilisha Ujenzi wa shule.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amechangia shilingi milioni tatu ili kuharakisha ukarabati wa ujenzi wa shule ya msingi ...
Read More

KRISMASI YAONDOKA NA WANNE KAGERA..YUMO ALIYEUAWA KWA MAPENZI,PIA MWIZI WA KONDOO

Watu wanne wamefariki dunia mkoani Kagera katika kusherehekea sikukuu za Krismasi na siku ya Boxing Day , kufuatia matukio manne yaliy...
Read More

Friday, December 28, 2018 Mtumishi benki ya NMB Ajeruhiwa Jijini Mbeya....Watu 9 Watiwa Mbaroni

Watu tisa wamekamatwa Mkoani Mbeya kwa tuhuma za uhalifu wa kuvunja, kuiba na kujeruhi likiwemo tukio la mtumishi wa benki ya NMB Kasu...
Read More

Friday, December 28, 2018 Mume aua mke wake kisa wivu wa mapenzi

Jeshi la Polisi mkoani Kagera, linamshikilia Kamugisha Kadodi (32), kwa tuhuma za kumshambulia mkewe, Kemilembe Paulo (30) na kusababis...
Read More

Friday, December 28, 2018 Askari Magereza Ajiua kwa Kujipiga Risasi Kidevuni

Askari Magereza katika Gereza la Kilimo Kitai wilayani Mbinga, Ruvuma, Adamu Kulwa Mgaga (24), amejiua kwa kujipiga risasi.   As...
Read More

Sunday, December 9, 2018 Live Tazama Hapa Vyama 15 vya Siasa Vikitoa Tamko.

Leo Desemba 09, 2018, Vyama vya siasa 15 nchini kupitia viongozi wake wakuu vimekutana na kutoa tamko la pamoja kuhusiana na mabadilik...
Read More

Sunday, December 9, 2018 Gari la kubebea maiti Lililotolewa na Naibu Waziri Laibua Mjadala

Gari la kubebea maiti lililonunuliwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Anthony Mavunde, limeibua mjadala m...
Read More

Sunday, December 9, 2018 Kikwete Awataka Wahitimu Vyuo Vikuu Wajiandae Kisaikolojia

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jakaya Kikwete amewataka wahitimu wa shahada za ualimu kujiandaa...
Read More

Sunday, December 9, 2018 Bavicha waijia juu UVCCM Mkoa wa Rukwa.

Haki ya kukosoa na na kujieleza inalindwa na katiba ya JMT 1977 na sio miongozo ya UVCCM . Haki ambayo UVCCM Rukwa wameitumia kumkos...
Read More

Sunday, December 9, 2018 UVCCM MKOA WA RUKWA HATUTA MUONEA AIBU WALA KUMVUMILIA YEYOTE ATAKAE WAVUNJIA HESHIMA YA VIONGOZI WA CHAMA, SUMBAWANGA MJINI.

Mwenyekiti wa vijana wa CCM(UVCCM) mkoa wa Rukwa ndugu Ramadhani Shabani leo hii akizungumza kwenye mkutano uliokuwa umeandaliwa n...
Read More

Sunday, December 9, 2018 Shoo Ya Diamond Tamasha la Wasafi Festival Sumbawanga Yaahirishwa

Tamasha la Wasafi Festival lililokuwa likifanyika jana (Jumamosi) usiku limeahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha na hivyo kushindwa ...
Read More

Friday, November 2, 2018 Mwanafunzi Atishia Kujinyonga Kisa Kulazimishwa Kwenda Shule

Mwanafunzi wa kike (15) aliyekuwa kidato cha kwanza Shule ya Sekondari Nsemlwa, Manispaa ya Mpanda, mkoani Katavi amenusurika kujiua k...
Read More

Friday, November 2, 2018 Mke wa Mchungaji Akutwa Amejinyonga Kanisani

Mke wa Mchungaji wa Kanisa la Last Church, Rusajo Mwambene (40), amekutwa amekufa kwa kujinyonga kwa kamba ndani ya kanisa hilo, katik...
Read More

Friday, November 2, 2018 BREAKING: Treni ya abiria Dar yapata ajali na Kujeruhi Watu 9

Treni ya abiria inayofanya safari zake kati ya Stesheni na Pugu, jijini Dar es Salaam imepata ajali baada ya mabehewa yake mawili kuan...
Read More