Jumla ya vijana 67 wamepata sakramenti ya kipaimara tayari kuwa wafuasi na askari hodari wa yesu kristu kwa kuishuhudia na kuitangaza...
Read More
Home / Archive for January 2019
Tuesday, January 29, 2019 Askari wa JWTZ afariki akijiokoa kubakwa na fundi
Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kambi ya Tabora, Esther Gway amefariki wakati akijiokoa katika tukio la ubakaji lililoteke...
Read More
WALIMU WASIMAMISHWA KAZI KWA KUOA WANAFUNZI WAO,WENGINE KUFELISHA MITIHANI
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi, limewasimamisha kazi walimu wanne shule za msingi, kwa tuhuma za kuoa wanaf...
Read More
Friday, January 25, 2019 Mlinzi wa Zahanati Ajinyonga Kwenye Chumba cha Sindano mkoani Rukwa.
Mlinzi wa zahanati ya Kijiji cha Katani, Kata ya Nkandasi wilayani Nkasi mkoani Rukwa Laudifasi Sokoni (60) amejinyonga katika chumba cha...
Read More
Wednesday, January 23, 2019 Oliver Mtukudzi: Mwanamuziki nguli amefariki dunia Zimbabwe
Mwanamuziki nguli kutoka nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi amefariki dunia. Amefariki hii leo katika hospitali ya Avenues mjini Ha...
Read More
Wednesday, January 23, 2019 Picha, Shule ya kata iliyoachwa kwa miaka 10 kusajiliwa mwaka huu Wilayani nkasi mkoani Rukwa
Majengo ya Maabara na madarasa yanayotakiwa kumaliziwa ili shule ya Sekondari Ntapepa iweze kusajiliwa na wananfunzi waanze kusoma ...
Read More
Wananchi wahimizwa kuanza ujenzi wa Zahanati na Vituo vya Afya kabla ya Serikali kusaidia mkoani Rukwa.
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (wa pili toka kushoto ndani ya msingi) akisaidia kuchimba msingi wa itakayokuwa hospitali ya...
Read More
Wanaowinda panya washauriwa kufuga kuku ili kupunguza uharibifu wa mazingira mkoani Rukwa.
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewashauri wananchi wote wanaoharibu misitu kwa kuchoma moto kwaajili ya kuwinda panya waan...
Read More
Thursday, January 17, 2019 RC Wangabo aishauri Wizara ya Kilimo kujenga vihenge eneo la viwanda la Kanondo mkoani Rukwa
Bango la ramani ya Viwanja vya Kanondo. Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga James Mtalitinya akionyesha ramani ya viwanja vi...
Read More
Thursday, January 17, 2019 RC Wangabo azihamasisha Taasisi kufika TFS kuchukua miti ya kupanda bure Mkoani Rukwa
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo akimhoji Peter Mazigo kiongozi wa taasisi ya vijana (FECEE) inayojishughulisha na uuzaji wa m...
Read More
Monday, January 14, 2019, Afikishwa mahakamani baada ya kumpa Dada yake Mimba
Gabriel Nyantori (25) amefikishwa mbele ya mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wilaya ya Serengeti mkoani Mara akituhumiwa kwa makosa ya...
Read More
Monday, January 14, 2019, VIDEO,KAULI YA KANGI LUGOLA KUHUSU VIDEO YA TRAFIKI KUMSHAMBULIA 'KUMNG'ATA MENO' DEREVA WA LORI SONGWE
Wakati video inayoonyesha askari watatu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wakimshambulia dereva wa lori ikizua mjadala mitandaoni, Jesh...
Read More
Monday, January 14, 2019 Tundu Lissu Aaanza Ziara Barani Ulaya
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ameanza ziara barani Ulaya na leo atakuwa London, Uingereza ambako amesema ataeleza...
Read More
Monday, January 14, 2019, Ujumbe wa “Niache Nisome” kutawala katika “T-shirt” za wananfunzi mkoani Rukwa
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (wa pili toka kushoto mstari wa nyuma) katika picha ya pamoja na wanfunzi wa shule ya sekond...
Read More
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)