Huenda wewe ni mmoja kati ya watu ambao
wamewahi kusikia stori kwamba Mwigizaji staa wa Vichekesho nchini Amri
Athuman maarufu kama ‘King Majuto’ kuwa na ugomvi na mrembo Gigy Money
basi leo kupitia Exclusive na Ayo TV King Majuto amefunguka kuhusiana na
hilo. Full video tayari nimekuwekea hapa chini…
KING MAJUTO KAFUNGUKA: “Nimezushiwa kifo mara 5, lazima nife lakini…”
0 comments:
Post a Comment