HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE!.................... ...Soko la Sido jijini Mbeya linateketea kwa moto mashuhuda wa tukio hilo wamesema hali ni mbaya zaidi kwani moto umekuwa mkubwa kiasi cha kuteteresha zoezi la uokoaji, ambapo taarifa zingine zinaeleza kuwa jeshi la polisi linatumia mabomu ya machozi kuwatawanya makundi ya watu wanao dhaniwa kufanya vitendo vya wizi badala ya kutoa msaada tutakujuza zaidi mara baada ya kumtafuta msemaji wa jeshi la Polisi
kapola newz
0 comments:
Post a Comment