IDRISS SULTAN KAFUNGUKA: Ni kuhusu Wema Sepetu kumpost Instagram


Moja ya stori inayoenea kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu hatua ya Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu kushindwa kuficha hisia zake na kuziweka wazi kwa kuandika ujumbe kwenye Instagram yake kuhusuIdriss Sultan.
Sasa leo August 22, 2017 Kapola Tv zinaye Idris Sultan ambaye kazungumzia haua hiyo ya Wema Sepetu.

Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment