Miongoni mwa video mpya na fresh zilizonifikia leo August 11, 2017 ni pamoja na hii ya mwimbaji staa wa Bongofleva Gigy Money, inaitwa ‘PAPA’ na video hii Imefanywa na Lucsa Swahili Visuals.
Unaweza kuchukua dakika zako 3:25 kuitazama mtu wangu na ukishamaliza kuitazama unaweza kuniachia comment yako ili Gigy Money akisoma ajue umeipokea vipi mtu wangu>>>
Alichofunguka King Majuto kuhusu wanaosema ana ugomvi na Gigy Money (+VIDEO)
0 comments:
Post a Comment