Tunaposema muziki wa Tanzania unazidi kukua kimataifa, pamoja na
jitihada za wasanii wenyewe, watayarishaji wa muziki wana mchango mkubwa
zaidi katika mafanikio hayo. Hii ni orodha ya watayarishaji wa muziki
waliotengeneza hits nyingi zaidi mwaka 2015.
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. Nana – Diamond Platnumz
2. Nobody But Me – Vanessa Mdee
3. Never Ever – Vanessa Mdee
4. Nusu Nusu – Joh Makini
5. Don’t Bother –Joh Makini f/ AKA
6. Jux f/ Joh Makini – Looking For You
7. Game – Navy Kenzo
8. Visa – Navy Kenzo
9. Shem Lake – Izzo B f/ Mwana FA & G-Nako
10. Zigo – AY
11. Laini – Nick wa Pili f/ G-Nako
12. Safari – Nick wa Pili f/ Vanessa Mdee, Jux, G-Nako, Aika
13. Baba Swalehe – Nick wa Pili
2. Aby Dady (Chaiderz Records
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. Chekecha Cheketua – Alikiba
2. Nagharamia – Christian Bella f/ Alikiba
3. Subira – Cassim Mganga f/ Christian Bella
4. Nitazoea – Mo Music
5. Mule Mule – Matonya f/ Rich Mavoko
6. Zogo – Malaika
7. Ayayaa – Abdul Kiba f/ Ruby
8. Baikoko – Shebby Love f/ Beka Title
9. Mkungu wa Ndizi – Q-Chief & TID
3. Mr T-Touch (Free Nation Sound)
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. Mapenzi au Pesa – Nay wa Mitego & Diamond
2. Haye – Darassa f/ Mr Blue
3. Sina Muda – Nay wa Mitego
4. Tunaishi – Darassa f/ Nay wa Mitego
5. Nitulize – Dayna f/ Nay wa Mitego
6. Kikomo – Fred Swag f/ Barakah Da Prince
7. Nafunga Zipu –Soggy Doggy f/Baghdad & G-Nako
8. Ligi Ndogo – Billnass f/TID
4. Man Walter (Combination Sound)
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. Wanjera – Ommy Dimpoz
2. Nice Couple – Mayunga
3. Nashindwa – Christian Bella
5. Tudd Thomas (Surround Sound)
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. Na Yule – Ruby
2. Nasema Nawe – Diamond
6. Mswaki (Black Curtains)
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. Sophia – Ben Pol
2. Ningefanyaje – Ben Pol
3. Watu – Heri Muziki
7. Mesen Selekta (De Fatality Music)
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. Cheza Kwa Madoido – Yamoto Band
2. Malaika – Sare
3. Mabele – Himself
4. Cow Obama – Young Dee
5. Popo Lipopo – Pam D f/ Mesen
6. Hawashi – Snura f/ Nay wa Mitego
8. Marco Chali (MJ Records)
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. Kazi Kwanza – B.O.B Micharazo
2. Poza Maumivu – Godzilla
9. Bob Manecky (AM Records)
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. Nikuite Nani – Jux
2. Hapo Ulipo – Mirror
3. I am Happy – Bob f/ Jux, Ben Pol, Quick Rocka, Young Dee, Gelly wa Rhymes & G-Nako
4. You Wish – M-Rap & Barakah Da Prince
5. Ulimama Nami – Mabeste f/ Barnaba
10. C9 Kanjenje ( C9 Records)
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. Amerudi – Malaika Band
2. Suna – Barnaba
3. Nimpe Nani – Nimpe Nani
11. Rash Doni (Kiri Records)
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. Shauri Zao – Belle 9
2. Mtu Tatu – Mtu Chee f/ Jux & Deddy
3. Mtaa Kwa Mtaa – Country Boy f/ G-Nako
4. Do It – Young Dee f/ Ben Pol
5. Twende Mbele – Adam Mchomvu f/ Mr Blue
12. Mazuu (Mazuu Records)
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. For You – Q-Chief
2. Inaniuma Sana – Juma Nature f/ Msaga Sumu
13. Duppy (Uprise Music)
Nyimbo alizotayarisha mwaka huu
1. Kidawa – Izzo Bizness f/ Shaa
0 comments:
Post a Comment