Harmorapa umaarufu wake umeanzia tu kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii akijifananisha na mwimbaji wa WCB Harmonize na baada ya hapo ndio akaanza ku-trend.
Leo February 6 2017 producer maarufu wa Bongo Records P Funk Majani ambaye anazo sifa nyingi za kuwa hodari wa kuwatoa Wasanii wengi, amemualika Harmorapa kwenye studio yake na kuipost picha wakiwa pamoja na ikazua maswali mengi.
AyoTV na millardayo.com zimempata P Funk na akakubali kujibu maswali ya ilikuaje wakakutana na mpaka akamualika studio ambapo amejibu >>> “Amekuja kiushkaji tu alitaka kuja kuniona kupata ushauri kwahiyo nimemualika tu amefika fresh nimemuelekezamuelekeza“

0 comments:
Post a Comment