VIDEO: Kauli ya TFF kuhusu taarifa za Shabiki wa Simba aliyefariki baada ya goli la Kichuya

 
Jumamosi ya February 25 2017 ilichezwa moja kati ya michezo yenye mvuto na ushindani mkubwa kila inapotokea wawili hao wanapokutana, mechi ilimalizika kwa Simba kupata ushindi wa goli 2-1 lakini kuna taarifa za Shabiki wa Simba kufariki wakati Shiza Kichuya anaifungia Simba goli la pili.
Shirikisho la soka la Tanzania TFF limetolea ufafanuzi taarifa hiyo na kueleza kila kitu wanachokifahamu, bonyeza kwenye hii video hapa chini kufahamu kila kitu

 

Tutumie Habari,Picha,Video,Tangazo,Nyimbo,Ushauri n.k. Wasiliana Nasi Simu/ 07640331688,Email peterkapola@gmail.com au Tembelea Kapola newz.

 



Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment