SUMBAWANGA FEB 24 TETEMEKO
Tetemeko la ardhi ya ukubwa
wa 5.7 kwenye vipimo vya Richter limekumba maeneo ya Ziwa Tanganyika mkoani Rukwa usiku wa kuamkia leo majira
ya saa tisa usiku likitokea mpakani mwa nchi ya zambia ambalo limesababisha vifo
vya watu 16 na kuleta athali mbalimbali ikiwemo kubomoka kwa baadhi ya makazi
ya watu.
Wakizungumza na kituo hiki
baadhi ya wananchi wilayani sumbawanga mkoani humo wameelezea jinsi tetemeko hilo lilivyoanza na hatua walizo zichukua wakati wa
Tetemeko hilo.
Nae prf,ABDUL KHALIM HAMISI mtendaji mkoa wa pala wa Jiolojia nchini
Tanzania ambaye ameeleza na kutoa ufafanuzi juu ya Tetemeko hilo ambalo
limepiga nchi za Zambia,Tanzania na jamhuri ya kidemocrasia ya Congo kwamba
kitaaramu lina weza kuwa limesababishwa na kitu gani.
Posted by peter kapola
0 comments:
Post a Comment