February 2 2017 mkutano wa sita wa bunge
umeendelea tena Dodoma na katika kipindi cha maswali na majibu ya moja
kwa moja kwa Waziri mkuu Majaliwa, moja kati ya waliopata nafasi ya
kuuliza alikuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe aliyetaka mwongozo wa serikali kuhusu tuhuma za Rais kuvifuta vyama vya upinzani.
VIDEO BUNGENI: Waziri Mkuu, Freeman Mbowe na Dr. Tulia kuhusu kauli ya Rais Magufuli
0 comments:
Post a Comment