Simu ya Nokia 3310 imezinduliwa upya miaka 17 baada ya uzinduzi wake rasmi.
Wengi wanaiona simu hiyo kuwa nzuri kutokana na umaarufu wake na uthabiti.
Zaidi ya simu milioni 126 zilitengezwa kabla ya kuondolewa katika soko 2005.
Mtaalam mmoja alisema ni njia nzuri ya kuzindua simu za Nokia.
''Simu hiyo ya 3310 ilikuwa ya kwanza katika soko na inasubiriwa na wengi'' ,alisema Ben Wood, mshauri wa kiteknolojia.
''Hatua hiyo ya kuzindua upya Simu ya 3310 ni wazo zuri na tunataraji itauza kwa wingi''.
posted by peter kapola 0764033168
0 comments:
Post a Comment