Leo
February 27 2017 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto ilikuwa na mpango kuwa na Mkutano na Waandishi wa habari
ulioandaliwa kuwataja Watanzania wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na
kujiuza mitandaoni lakini baadae leo Mkutano huo uliahirishwa.
Baada ya kuahirishwa kwa mkutano huo, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameandika kupitia account yake ya twitter haya……
“Kwa orodha tuliyonayo, kutangaza majina ya mashoga hadharani, ni sawa na kufungulia jini lililowekwa kwenye chupa!”-Kigwangalla.
“Kwa
sababu za kimkakati, na ili kuepuka kuharibu ushahidi,
tutalishughulikia jambo hili kwa namna nyingine, tutawajulisha matokeo
kila hatua”-Kigwangalla.
0 comments:
Post a Comment