February 2 2017 imeadhimishwa siku ya
sheria ambayo ndio mwaka mpya wa Mahakama kuashiria kuanza kazi kwa
Mahakama na mgeni rasmi alikuwa Rais Magufuli ambaye alihoji kuhusu
Mahakimu 28 ambao walifunguliwa kesi za jinai nyingi zikiwa za rushwa na
kushinda kesi hizo, alihoji je ni kweli kuwa hakufanya makosa hayo,
kesi ilikosewa kufunguliwa? au ?
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment