Taarifa ni kwamba wameachiwa kwa dhamana ambapo moja ya masharti waliyopewa ni kuripoti Polisi mara mbili kwa mwezi ambapo TID, Recho, Tunda, Nyandu Tozy, Babuu wa kitaa na Rommy Jones watakuwa chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja na dhamana yao ni milion 10 kila mmoja.
Petitman na wenzake watatu wao watakuwa kwa uangalizi wa polisi kwa miaka mitatu na dhamana ya kiasi cha milioni 20 kila mmoja.
FULL VIDEO: T.I.D, Rachel, Tunda na wengine walivyofikishwa Mahakamani Dsm
posted by peter kapola
0 comments:
Post a Comment