Kwenye mechi ya juzi kati ya Simba vs
Yanga tulishuhudia vitu vingi sana kabla ya mechi yenyewe, watu waliweka
pesa Rehani kwenye kupinga ni nani atashinda… sasa Sheria ya Tanzania
ikoje kwenye makubaliano kama hayo?
Mwanasheria Jebra Kambole amekaa na sisi kwenye kapola tv
Mwanasheria Jebra Kambole amekaa na sisi kwenye kapola tv
0 comments:
Post a Comment