Nukuu kutoka kwa Naibu Waziri wa Afya, Dr. Hamisi Kigwangalla February 6 2017 ambae ameingia kwenye headlines na ishu ya vijana Watanzania wanaodaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Dr. Kigwangalla ameagiza wafuatao wafike wenyewe Kituo cha kati cha Polisi Dar es salaam kwa mahojiano kabla hawajatafutwa…. James Delicious, Kaoge Mvuto na Dani Mtoto wa mama.
Dr. Kigwangalla ameagiza wafuatao wafike wenyewe Kituo cha kati cha Polisi Dar es salaam kwa mahojiano kabla hawajatafutwa…. James Delicious, Kaoge Mvuto na Dani Mtoto wa mama.
BUNGENI: Mbunge
wa Nzega Mjini Hussein Bashe kuhusu mambo matatu Tanzania inakabiliwa
nayo sasa hivi ikiwemo Dawa za kulevya na mapenzi ya jinsia moja,
mtazame hapa chini
0 comments:
Post a Comment