Kapola newz is a blogg that gives you news, events, games and entertainment for more instructions contact kapola newz by phone, 0764033168 Email peterkapola@gmail.com
Machi 1 2017 Serikali imeshatangaza
kuwa Pombe za viroba ni marufuku kuanzia mtaani na utengenezaji
viwandani ambapo baada ya hapo kwa yeyote atakayekutwa nayo aidha
amebeba ama kutengeneza atakutana na sheria kali iliyotungwa.
Kuanzi march 2 2017 operation ya
upekuzi kutafuta pombe hizo za Viroba ambayo itaongozwa na kamati za
ulinzi na usalama za mikoa.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment