Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe ni mmoja kati ya wabunge waliopata
nafasi ya kusimama bungeni leo February 9 2017 kwa ajili ya kuchangia
maoni kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya ardhi, maliasili na utalii
pamoja na kamati ya Kilimo, mifugo na maji.
Kati ya vitu alivyolalamikia ni kushindwa kukamilika kwa mradi wa maji Kigoma uliogharimu zaidi ya dola Milion 16 za Marekani.
BUNGENI: Maswali na majibu ya February 9 2017
0 comments:
Post a Comment