VIDEO: Mbunge aliyetayari kutaja Wabunge wanaouza dawa za kulevya TZ

 
Mjadala wa Watuhumiwa wa biashara na watumiaji wa dawa za kulevya umeendelea kuchukua nafasi baada ya kuibuliwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Mjadala umefika mpaka Bungeni Dodoma na baadhi ya Wabunge waliosikika wakichangia ni pamoja na Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliyesema yupo tayari hata kuwataja baadhi ya wabunge wanaohusika na bishara hiyo.
Tazama hii video hapa chini akichangia ishu mbalimbali ikiwemo na hiyo.



Tazama hii video hapa chini akichangia ishu mbalimbali ikiwemo na hiyo. VIDEO: Maagizo matatu ya Paul Makonda leo February 6 2017 kwenye hii video unaweza kutazama




Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment