Jana February 2 2017 mkuu wa mkoa Dar
es salaam Paul Makonda alikutana na Waandishi wa habari na kutaja orodha
ya Wanaofanya biashara ya dawa za kulevya na wanaotuhumiwa kutumia dawa
za kulevya.
Leo baadhi ya waliotajwa wameonekana wakiingia kwenye kituo kikuu cha polisi kati Dar es salaam, tazama kwenye hii video hapa chini kuona ilivyokua.
ULIPITWA? Tazama hapa chini Mahojiano ya Wema Sepetu akiongelea vitu mbalimbali ikiwemo kuhusu kutoa mimba,Mtoto na Diamond na mengine

0 comments:
Post a Comment