Kapola newz is a blogg that gives you news, events, games and entertainment for more instructions contact kapola newz by phone, 0764033168 Email peterkapola@gmail.com
Waziri wa ardhi William Lukuvi ameita
Waandishi wa habari Dar es salaam February 27 2017 na kuongelea ishu ya
Kiwanja alichopewa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda juzi na Mfanyabiashara mmoja ili akigawe bure kwa Wananchi kwa ajili ya kutengeneza Viwanda vidogovidogo. Kila kitu pamoja na ishu nyingine ya
Wizara ya ardhi kuhamia Dodoma utakutana nacho kwenye hii video hapa
chini akiongea mwenyewe Waziri William Lukuvi.
VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani Kikwete baada ya kuona picha aliyopiga na Edward Lowassa, tazama kwenye hii video hapa chini akiongea mwenyewe
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment