Baada ya Askofu Gwajima na Mwenyekiti wa Yanga na Mfanyabiashara Yusuph Manji kuwasili kituo cha kati cha Polisi Dar es Salaam na kukaa zaidi ya saa zaidi ya 5, wameondolewa kwenye eneo hilo.
Gwajima na Manji wamepakizwa kwenye gari moja na kuelekea sehemu ambayo kamishina wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Simon Sirro
hakutaka kuweka wazi lakini akawaambia Waandishi wa habari waliokua nje
ya kituo kuwa taarifa rasmi atazitoa kesho Ijumaa ya February 10 2017,
Tazama kwenye hii video hapa chini walivyokua wakiondolewa kituoni hapo
By kapola newz
0 comments:
Post a Comment