Video: Yamoto Band watua Dar, wazungumzia tour yao ndani ya mataifa 6 ya Ulaya

Wasanii wa kundi la Yamoto Band ametua Dar es salaam Jumanne hii wakitokea ulaya katika tour yao ya show za kimataifa.
 

Waimbaji hao waliweza kufanya show Sweden,Finland,Italy,Norway,Germany pamoja na Switzerland.
Wakizungumza na Bongo5 Jumanne hii wakiwa JK Nyerere Airport, walisema show hizo zimeweza kuwaongezea mashabiki wapya ndani ya muziki wao.



Tutumie Habari,Picha,Video,Tangazo,Nyimbo,Ushauri n.k. Wasiliana Nasi Simu/ 07640331688,Email peterkapola@gmail.com au Tembelea Kapola newz.

 




Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment