Ni kilio na kicheko. Hivyo ndivyo
tutakavyoweza kusema, kwani matokeo ya kidato cha sita, yaliyotangazwa
leo Jumamosi, Julai 15 yamezitaja shule kumi zilizofanya vibaya na
kushika mkia kitaifa.
Shule hizo ni Kiembesamaki Unguja, Hagafilo (Njombe), Chasasa (Pemba),
Mwenyeheri Anuarite (Dar es Salaam) na Ben Bella (Unguja).
Nyingine zilizotajwa kushika mkia ni Meta (Mbeya), Mlima Mbeya(Mbeya)
Nyingine ni Shule ya Sekondari ya Al-Ihsan Girls (Unguja na St Vicent(Tabora).
Angalia hapa chini Matokeo hayo
0 comments:
Post a Comment