Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania kampasi ya Mwanza, kinakutangazia nafasi za masomo katika ngazi ya DIPLOMA na CERTIFICATES kwa mwaka wa masomo 2017/2018 utakaoanza mwezi wa 10 mwaka 2017.
DIPLOMA PROGRAMMES:
1. Ordinary Diploma in Accountancy
2. Ordinary Diploma in Business Administration
3. Ordinary Diploma in Psychology and Counseling
4. Ordinary Diploma in Journalism and Media Studies
5.Ordinary Diploma in Procurement and Supply Chain Management
6.Ordinary Diploma in Computing, Information and Communication Technology
7.Ordinary Diploma in Computer Science
8.Ordinary Diploma in Law
SIFA ZA MWOMBAJI:
i) Mwombaji awe amehitimu kidato cha sita na amepata alama za ufaulu kiwango cha principal pass moja. AU
ii) Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne na awe amepata alama za ufaulu kuanzia “D” 4 na awe na Astashahada katika fani husika.
CERTIFICATES PROGRAMMES:
1. Basic Technician Certificate in Law
2. Basic Technician Certificate in Business Administration
3. Basic Technician Certificate in Accountancy
4. Basic Technician Certificate in Health Administration
5.Basic Technician Certificate in Tourism Enterprise Management
6.Basic Technician Certificate in Logistics and Supply Management
7.Basic Technician Certificate in Journalism and Media Studies
8. Basic Technician Certificate in Computing, Information and Communication Technology
9. Basic Technician Certificate in Computer Science
SIFA ZA MWOMBAJI:
i)
A amehitimu kidato cha nne na awe amepata alama za ufaulu kuanzia “D” 4
katika masomo yasiyo ya dini. Kwa waombaji wa kozi za Accountancy,
Computer Science, na Information Technology wanatakiwa wawe na ufaulu wa
“D” katika somo la hesabu.
•==>Maombi yameanza kupokelewa chuoni kuanzia tarehe 15/05/2017
•==>Fomu za maombi zinapatikana chuoni au katika tovuti ya chuo www.saut.ac.tz
•==>Unaweza kufanya maombi kwa njia ya kielektroniki (Online application) kupitia tovuti ya chuo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa anuani:
Ofisi ya Msajili
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania
S.L.P: 307
MWANZA, Tanzania
Tel: 028 29 81186, 028 29 81187
Mob: +255 744 509 110
+255 769 759 622
Email: admission@saut.ac.tz
Website: www.saut.ac.tz
Programu hizi pia zinapatikana katika kampasi ya Arusha, Mbeya na Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment