Mwalimu Ashikiliwa Na Polisi Kwa Kukutwa Akifanya Mapenzi Na Mwanafunzi Mkoani Mwanza.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaCzl6eXpzne5nZurHOXIsYsMRZBRadM_x3UyKlG3dmZ1PudkE9AUqiMPld1YNVYp-qom8T3iVD00aAb022TckxhFeRiIQpp-gxeXlt96SNNAfPtP-kGYctRKdDj-gUpc6klwOTU5Mqrnr/s1600/shuleni.jpg

Jeshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia mwalimu Abas Huseni kwa kosa la kukutwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Mabumba mkoani Mwanza.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa mwanza AHMED MSANGI amedhibitisa kuwa mwl.Abasi husein amekamatwa baada ya babu wa mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 17 kuendesha msako ulio wezesa kuwakuta wakifanya mapenzi kwenye moja ya madarasa ya shule ya msingi ya mwabomba.
insert kamanda msangi

Aidha kamanda msangi amesema kuwa mtuhumiwa huyo anatalajiwa kufikisha mahakamani ili kujibu tuhuma zinazo mkabili sambamba na kutoa onyo kali kwa watu wanao jihusisha na mapenzi na wanafunzi.
insert kamanda msangi 2

Kufuatia tukio hilo la mwalimu wa shule ya msingi mwabomba kukutwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wa sekondari ya mwabomba limelaaniwa vikali na waalimu wakuu wa shule hizo ONESMO JULIUS na FRANCISKO NGUKA waliozungumza na kituo hiki kwa njia ya simu.

written by kapolanewz 0764033168

Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment