Wasukuma Mpoo!! HII HAPA NGOMA MPYA YA BHUDAGALA MWANA MALONJA - BHANA BHANE




Habari njema kwa wapenzi wa nyimbo za asili!! Msanii wa nyimbo za asili Bhudagala Mwana Malonja ameachia ngoma mpya kabisa mwaka 2017.Malunde1 blog inakualika kutazama Video ya Bhudagala Mwana Malonja inaitwa "Bhana Bhane".Ni ngoma kali balaa ya asili.

 

Tazama Video ya Bhana Bhane kutoka kwa Bhudagala Mwana Malonja Hapa chini

 

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 764033168 Email peterkapola@gmail.com


  
Share on Google Plus

About KAPOLA NEWZ TV..✍️

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment